Maambukizi katika mfumo wa chini wa upumuaji

Maambukizi katika mfumo wa chini wa upumuaji ni maambukizi yanayotokea kuanzia chini ya koo la hewa hadi kwenye mapafu mara nyingi hufaamika kama pneumonia, japo hujumuisha na maambukizi kama uvimbe/majipu katika mapafu na bronchitis.

Pneumonia ni maambukizi yanayosababishwa mara nyingi na bakteria katika mfumo wa chini wa upumuaji japo pia virusi na fangasi huweza kusababisha.
Kuna aina mbalimbali za pneumonia kama itokanayo na kupaliwa, wanaolazwa muda mrefu hospitali katika mashine za kupumulia na nyinginezo.
Ni kati ya magonjwa hatarishi hasa kwa watoto wenye umri chini ya miaka miwili, wazee wenye umri zaidi ya miaka 65 na watu wenye upungufu wa kinga mwilini.

Dalili ambazo zinakupaswa uwahi/umuwahishe katika kituo cha afya endapo utakuwanazo au atakuwanazo mwanao ni kama kushindwa kupumua, kikohozi ng’ang’anizi chenye makohozi, kukohoa damu, maumivu ya kifua na homa kali isiyopungua.

1 thought on “Maambukizi katika mfumo wa chini wa upumuaji

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show