Je Uzito wako ni Salama kwa Afya Yako

Uzito salama ni ule uzito unaoendana na kiwango cha urefu wako.

Uzito usio salama kwa afya yako huweza kukupelekea Kushambuliwa na maradhi mbalimbali kama vile.

 • Viungo vya mwili kuuma.
 • Ugonjwa wa kisukari.
 • Ugonjwa wa moyo.
 • Ugonjwa wa saratani.

Njia muafaka unazoweza kufanya ili kudumisha uzito ulio salama.

 • Kuongeza kufanya mazoezi ya mwili.
 • Kuacha kula mradi umeshiba.
 • Kula kulingana na uhitaji.
 • Kupunguza jinsi unavyokula mafuta na sukari.

Kufahamu kama uzito wako unaendana na urefu wako Tembelea tovuti ya daktari mkononi kipengele cha afya yako , au bonyeza linki ifuatayo

Fahamu kama uzito wako unafaa

5 thoughts on “Je Uzito wako ni Salama kwa Afya Yako

 1. Sawa samaki wanavirutubisho vipi jinsi ya upikaji maana kuna viuongo vya kumpaka samaki wakati unamuandaa na viungo vingi sikuizi ni vya supermarkets vipi haviwezi punguza virutubisho ?

  1. My name is luchy I am teenage 19 and I am not pregnant but I have been having an issue that bothers me alot Since I began my periods at the age of 12 I have been having terrible period pains I mean really severe and so due to that it led to be using painkillers.. like diclofenac,paracetamol,diclopa and even some times I would go for injections just to get some relief in what I have been going through And so my question is I want to know if wether I have any chances of getting pregnant 🤰.. because I am really scared with the amount of medicines I have been taking Doc please help me I am in a desperate situation

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show