Fahamu uhusiano kati ya lishe na Virusi vya UKIMWI

  • Virusi vya UKIMWI hudhohofisha kinga ya mwili.
  • Hali hii hupelekea ongezeko la uhitaji wa virutubisho mwilini.
  • Pale muathirika anaposhindwa kupata lishe bora na kushindwa kukidhi uhitaji wa virutubisho ,utapia mlo hutokea.
  • Utapia mlo hupelekea kupungua zaidi kwa kinga ya mwili na wakati huohuo virusi vya UKIMWI huendelea kudhohofisha kinga ya mwili.
  • Hatimaye uwezekano wa kushambuliwa na maradhi na magonjwa nyemelezi huongezeka.

Hivyo Zingatia

  1.  Mlo kamili wenye virutubisho vyote.
  2.  Kutumia dawa zako za kupunguza makali ya UKIMWI kwa usahihi.
  3.  Kuhudhuria cliniki mara kwa mara kufuatilia afya yako.
  4. Fanya mazoezi kuupa mwili afya.

1 thought on “Fahamu uhusiano kati ya lishe na Virusi vya UKIMWI

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show