Dawa zetu zikisha kwisha muda wake wa matumizi ulioandikwa na kiwanda, al-maarufu kama ‘expiry date’ hutakiwa kutupwa haraka iwezekanavyo. Watumaiji wa dawa na wauguzi hutupa dawa zilizokwisha matumzi, zilizoharibika au ambazo hazijatumika kwa muda mrefu…
Category: Elimu ya dawa na vipodozi
Nitumie kinywaji/chakula gani ninapotaka kumeza dawa?
Unajua kuhusu muingiliano wa dawa? Aina ya vyakula, vinywaji, pombe, kahawa, na hata sigara huweza kuleta muingiliano vikitumika pamoja na Dawa. Kwa ujumla, Maji ndio kimiminika kinachotakiwa na ni kizuri kwa ajili ya kunywea dawa.…
Je, dawa kutoka kampuni bunifu (innovator brand) ni sawa na dawa kutoka kampuni nyingine (generic)?
Siku moja nikiwa famasi alikuja mgonjwa mmoja akiulizia dawa moja kutoka kampuni bunifu. Dawa hiyo ilikuwepo lakini pia zilikuwepo dawa mbadala (generic). Mtu huyu alipungukiwa kiasi cha hela kilichohitajika kununua dawa ile, akapata wakati mgumu…
Dawa muhimu kuwa nazo nyumbani.
Ni kawaida kwa binadamu kupatwa na maumivu au maradhi madogo madogo mara kwa mara hasa watoto wadogo. Dalili nyingi huanza wakati tusiotarajia na pengine tunashindwa kuapata msaada wa haraka. Haya baadhi ya mapendekezo ya dawa…
Fahamu kuhusu Aleji ya madawa!
Madhara ya madawa yapo mengi na ya aina nyingi, na kila mtu hupata matokeo tofauti kwa dawa ileile, mwingine anaweza kupata vipele mwili mzima, au kuvimba au hata kupoteza maisha wakati mtu mwingine asipate madhara…
Kwanini napata “Hangover”?
Kuna pombe au vilevi vya aina tofauti kama vile bia, wine, pombe kali(Vodka, spirits,ram,scotch, brandy) n.k. Watu wengi hupenda kujiburudisha kwa kunywa vinywaji hivi na kati yao kuna ambao wanajikuta baada ya kunywa kwa kupitiliza…
Njia asili za kutibu fangasi za ukeni
Je, wajuaa jinsi ya kutatua tatizo la fangasi ukeni? tujikumbushie kidogo fangasi ni nini. Fangasi ukeni ni muwasho sehemu ya ndani ya uke ambao unaweza kuambatana pia na kuvimba kwa uke. Leo hatutaongelea sana juu…
Njia asilia za kuzuia kiungulia
Kiungulia hutokea pale asidi zihifadhiwazo tumboni kwa ajili ya mmeng’enyo wa chakula zinapo toka na kupanda kuja kwenye njia ya chakula (esofagasi). Uwepo wa asidi hizi katika njia ya chakula husababisha maumivu makali yanayotaka kufanana…
Je vipodozi vyote ni salama kwa mama mjamzito?
.Kipindi cha ujauzito ni kipindi nyeti sana kwa afya ya mama na mtoto. Mwili wa mama hupata mabadiliko mengi ya kifisiologia. Moja wa mabadiliko hayo ni kuongezeka kwa uwezo wa kemikali kupenya kwenye ngozi kwenda…
Ukosefu wa choo(constipation) na tiba asilia
Hali ya kukosa choo ni tatizo linalokumba asilimia kubwa ya watu. Kisayansi, Unapopata choo chini ya mara 3 kwa wiki, inatosha kusema una hali ya ukosefu wa choo (constipation). ukosefu wa choo husababishwa na vitu…
Zijue faida za tangawizi kwa afya
Mmea wa tangawizi husifika kwa faida zake ambazo hupatikana kwenye mizizi ya mmea huo. Huweza kutumika kama kiungo katika chakula au kama dawa ya asili. Huweza kuwekwa kwenye chai na kuongezewa asali. Hutumika kutengeneza pipi…
Kikohozi kikavu na tiba asili
Kikohozi hutokana na aidha vijidudu ambavyo hushambulia njia ya hewa, aleji , michubuko katika njia ya hewa au magonjwa ya moyo. Aina za vikohozi Kuna kikohozi kikavu na kikohozi ambacho hutoa makohozi. Kikohozi hasa kikavu…
Recent Comments