MAGONJWA YAENEZWAYO KWA MAJI (KIPINDUPINDU).

UTANGULIZI Kipindupindu ama cholera  kwa kingereza ni ugonjwa hatari unaosababishwa na bakteria anayeitwa Vibrio cholera hasa kwenye utumbo mwembamba.  Maambukizi …

MAGONJWA YAENEZWAYO NA MAJI MACHAFU (HOMA YA MATUMBO)

HOMA YA MATUMBO Homa ya matumbo ama typhoid fever kwa kingereza, ni ugonjwa unaosababishwa na bakteria anayeitwa Salmonella typhi anayeenezwa …

Ni muda upi sahihi wa kupima maambukizi ya virusi vya UKIMWI?

Utangulizi…… Kuna njia nyingi ambazo mtu huweza kupatwa na maambukizi ya virusi vya ukimwi mfano kupitia ngono isiyo salama, kutoka …

je, unafahamu maajabu ya kunawa mikono?

Pengine kunawa mikono ni jambo linaloonekana kuwa dogo na kupuuzwa na watu wengi, lakini kiuhalisia kutonawa mikono vizuri kama inavyotakiwa …

Je, unajua sababu zinazopelekea kutapika damu? JIFUNZE NASI!

JE, UMEWAHI TAPIKA DAMU!? Mfumo wa umeng’enyaji wa chakula ni mojawapo ya kati ya mifumo muhimu katika mwili wa mwanadamu …

Maumivu na muwasho sehemu za siri, tatizo ni nini?

Visababishi hasa ni nini? ……. Watu wengi wanaume kwa wanawake wamekuwa wakisumbuliwa na matatizo mbalimbali kwenye sehemu zao za siri …

Je, wataka fahamu jinsi ya kuondoa makovu na kuzuia chunusi mpya!?

UTANGULIZI Wengi hujiuliza kama kuna tiba ya chunusi, kwa kumaanisha dawa au njia ambayo inaweza kutumika kumaliza chunusi kabisa. Kiukweli …

FAHAMU KUHUSU MAAMBUKIZI YA NJIA YA UPUMUAJI (RESPIRATORY TRACT INFECTIONS).

Maambukizi ya njia ya UPUMUAJI huathiri zaidi njia ya hewa ya kinywa na mapafu. Maambukizi haya huisha ndani ya wiki moja …