Mtoto wangu ana homa, Je nifanye nini?

Homa ni dalili ambayo hutambulika kwa joto la mwili kupanda juu ya nyuzi 38°C , au kwa kawaida hujulikana kama mwili kuchemka. Homa ni dalili na sio ugonjwa, hivyo basi inaweza kusababishwa na magonjwa tofauti…

KWANINI MWANANGU HASHIBI?

Utangulizi Maziwa ya mama kwa mtoto ni jambo la muhimu sana kwani yana virutubisho vingi vinavyomsaidia mtoto kukua vizuri, kumkinga na magonjwa na kumsaidia kupona haraka anapoumwa. ndio maana inashauriwa mtoto kunyonya maziwa ya mama…

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show