Elimu Ya VVU
Unahitaji Msaada?

ELIMIKA ZAIDI

Je Unajua?

Maambukizi ya ukimwi yanaweza kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kable ya kuzaa, wakati wa kuzaa na hata baada ya kuzaa.

UNASWALI? WASILIANA NASI

"Tusinyanyapae wagonjwa wa VVU, wanahitaji haki sawa na watu wengine"