Dalili za hatari kwa afya ya mtoto

Mtoto mwenye dalili zifuatazo anahitaji matibabu haraka pamoja na ungalizi wakati wote.

  • Kupumua kwa shida au kupumua haraka haraka
  • Udhaifu na uchovu wa mwili mara kwa mara
  • Kukosa hamu ya kula
  • Kukosa mkojo,mdomo kukauka au utosi kwenye kichwa cha mtoto kubonyea ndani ni dalili hatari za kupungukiwa maji mwilini
  • Kupoteza fahamu na kurusha maungo ya mwili au kutetemeka ..kawaida huambatana na homa kali

6 thoughts on “Dalili za hatari kwa afya ya mtoto

  1. Repellendus aut accusamus nam sed ut qui. Inventore quis nobis qui ullam. Qui praesentium ipsa animi. Nobis consectetur esse eaque. Nobis consectetur esse eaque.

  2. Quo rerum quo possimus. Odit voluptatem blanditiis ab natus. Molestiae doloribus non impedit non ut. Voluptatum soluta commodi quaerat fugiat.

  3. Good work lads, you are doing great, I suggest you put other lessons in English for the benefit us who don’t know swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show