Je! Unafahamu kuwa unaweza ukafanya mazoezi yasiyo sahihi na kuutaabisha mwili?

Yafuatayo ni mambo unayoweza kufanya kuhakikisha haujitaabishi:

οƒ˜

 • Kula chakula cha kutosha
 • Hakikisha unakula milo yote
 • οƒ˜ Epuka kula vyakula vya kukaanga na nyama nyekundu (nyama kutoka kwa wanyama wenye miguu minne)
 • οƒ˜

 • Kula matunda, mbogamboga na maji kwa wingi.
 • οƒ˜

 • Tafuta muda wa kufanya mazoezi na urudie kila siku, unapozoea mazoezi ongeza ugumu
 • οƒ˜ Omba ushauri kwa wana mazoezi ili upate uelewa zaidi

 • Joseph Paul MD5

  Aspiring Cardiologist ❀

  All author posts

  Privacy Preference Center