Kisukari ni tatizo la jamii

Ni ugonjwa unatokana na mwili kushindwa kudhibiti sukari katika kiwango kinachohitajika.Ugonjwa huu hupelekea mwili kupata magonjwa mengine kama magonjwa figo, macho, moyo, mishipa ya damu na fahamu.

Dalili za Kisukari ni:

  • Kunywa maji mengi kupita kiasi
  • Kula chakula kingi kuluko kawaida
  • Kupata mkojo mwingi kwa siku
  • Kupungua uzito ghafla
  • Kuchoka mara kwa mara
  • Vidonda visivo pona haraka
  • Kuona chengachenga
  • Miguu na mikono kufa ganzi
  • Kushindwa kusimamisha uume au kusikia raha katika tendo la ndoa

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center