Dawa ya Metformin

Metformin ni kati ya dawa zinazotumika katika matibabu ya Kisukari. Mara baada ya kuanza matibabu inawezekana kupata dalili za kuchafuka kwa tumbo kama kichefu chefu, kuumwa tumbo, ladha ya chuma mdomoni na pia kuharisha.

Hii ni kawaida katika siku za mwanzo za matitabu na huisha baada ya muda. Hali hii inaweza kupunguzwa kwa kunywa dawa pamoja na chakula. Ukipata hali hii jisikie huru kumweleza daktari wako kwa msaada zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center