Unazuiaje matatizo na magonjwa yatokanayo na Kisukari?

Ili kuzuia matatizo yatokanayo na ugonjwa wa Kisukari kama matatizo ya figo, macho na miguu. Mgonjwa wa Kisukari anashauriwa kuzingatia yafuatayo:

1. Kunywa dawa kwa wakati na kuzingatia kiwango elekezi cha dawa.

2. Kupunguza uzito , kwa kufanya mazoezi. Mazoezi yasiwe makali, aanze taratibu kama dakika 30 na kuongeza kidogo kidogo jinsi siku zinavyokwenda.

3. Kupima sukari mara mbili kutwa.

4. Kupunguza msongo wa mawazo.

5. Kupunguza vyakula vya wanga na kula zaidi mboga mboga.  Endapo akila wanga iwe ni wanga zisizokobolewa.

6. Kupunguza matumizi ya chumvi kwenye chakula.

7. Kulala usingizi wa kutosha.

8. Kuacha pombe na sigara.

9. Kuhudhuria kliniki kwa uaminifu kwa uangalizi zaidi na vipimo.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show