Pedi zinc ( zinc sulfate, zinc acetate, zinc gluconate)

Ni madini  yanayotumika haswa kutibu kuhara kwa watoto. Hutumika pamoja na ORS, na wakati mwingine pamoja na antibiotic kutibu kuhara kunako tokana na vijidudu.

Vifuatavyo ni vyakula vinavyozuia au kupunguza ufanyaji kazi ya madini haya, hivyo hupelekea matokeo mabaya katika matibabu na ukuaji wa mtoto kiujumla.

1.Nafaka kama wali, ulezi, mahindi n.k

2.Vyakula vitokanavyo na maziwa kama jibini, maziwa ya mgando n.k

3. Kahawa

Hivyo ni vyema kumpa mtoto madini ya zinc masaa mawili kabla ya kumpa vyakula vilivyotajwa hapo juu.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center