Shtuko la moyo (Heart attack)

Shtuko la moyo (kwa Kiingereza acute myocardial infarction au heart attack) linatokea pale ambapo ghafla mshipa wa damu ndani ya moyo unaziba. Mishipa ya namna hiyo inasafirisha damu na oksijeni. Mshipa mmojawapo moyoni ukiziba, damu haiwezi tena kufikia sehemu ya moyo, na hivyo sehemu hiyo inakuja kukosa oksijeni. Tukio hilo linaitwa iskemia (kwa Kiingereza: ischaemia), nalo mara nyingi linasababisha maumivu kifuani (angina pectoris). Ikiwa iskemia inadumu kirefu, msuli wa moyo unakufa kwa kukosa oksijeni (infarction).

Shtuko la moyo ni hatari kubwa inayodai msaada wa daktari, lakini dakika za kwanza ndizo muhimu zaidi kwa kuokoa uhai wa mgonjwa wa namna hiyo. Kumbe wengi wanasubiri masaa.

Baadhi ya madhara yanayotokana na shtuko hilo yanaweza kurekebishwa ikiwa mhusika anatibiwa saa za kwanzakwanza.

– Heart attack first aid. MedlinePlus. Retrieved December 3, 2006.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show