Je inaulazima gani kwa watoto kufanya mazoezi ya viungo?

Mazoezi kwa watoto ni swala la lazima.! Kwani yana faida nyingi zakiafya kiujumla. Baadhi ya faida hizi ni Kama;

1.Mazoezi husaidia kuchangamsha miili pamoja na ubongo. Mara nyingi watu hudhani kufanya mazoezi ndo chanzo cha kuchoka na kuongeza uchovu mwilini…hii si kweli mazoezi hutu Changamsha zaidi na kutufanya tuweze kufkiri kwa haraka pia.

2.Vile Vile mazoezi ya viungo huboresha mzunguko wa damu mwilini🤗 si kwa watoto tu Bali watu wote wa rika zote..

3.Mwili wa mwanadamu hufananishwa na nyumba ambayo hujengwa kwa matofali, simenti,chokaa na vingine vingine..hivyo basi ndivyo miili yetu ilivyo, kwani huitaji lishe iliyo Bora na mazoezi ya viungo ili kuweza kuimarika zaidi.!

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center