Unafahamu umuhimu wa mazoezi na michezo kwa watoto?

Watoto wengi wamekua hawapati muda wa kutosha kwa ajili ya mazoezi ya viungo kwa sababu kuu mbili. Mzazi kumkata mtoto kucheza kwa hofu kuwa atachafuka au kuumia na pili watoto wengi wanacheza michezo ya kidijitali (michezo ya simu). Kuna umuhimu mkubwa sana mtoto akipata angalau saa moja kwa ajili ya viungo. Zifuatazo ni baadhi ya faida za mazoezi kwa watoto
1: Kuepuka uzito mkubwa akiwa mtu mzima pamoja na magonjwa yote yanayo ambatana. Magonjwa kama kisukari na shinikizo la damu yanaweza kuepukika endapo ukimzoesha mtoto kufanya mazoezi tangu akiwa mdogo.
2: Humsaidia mtoto katika kufikiri vizuri, mara nyingi watoto wanaofanya mazoezi wanakua na uwezo mzuri wa kufikiri na kufanya kazi cizuri zaidi.
3. Hujenga misuli na mifupa ya mtoto vizuri zaidi na kuongeza kinga ya mwili.
Ni vema kusisitiza michezo kwa watoto.

2 thoughts on “Unafahamu umuhimu wa mazoezi na michezo kwa watoto?

  1. Ni wakati sasa wazazi na jamii kiujumla waelemishwe zaidi juu ya faida za mazoezi ya viungo kwa watoto….#afya Bora kwa kila mtoto#

  2. Ni wakati sasa wazazi na jamii kiujumla waelimishwe zaidi juu ya faida za mazoezi ya viungo kwa watoto….#afya Bora kwa kila mtoto#

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show