Madhara yatokanayo na statins ( side effects)

Hyperlipidemia (mafuta mengi kwenye damu) ni moja ya magonjwa ya kimetaboliki yanayopelekea magonjwa ya moyo pamoja na shinikizo la damu. Hivyo ni muhimi kudhibiti tatizo hili ili kutibu matatizo ya moyo na shinikizo la damu.
Kuna dawa mbalimbali zinazotumika katika kudhibiti tatizo hili kama statins, niacin n.k.

Statins hususani ni dawa kuu zinazotumika katika kutibu au kushusha wingi wa mafuta kwenye damu.
Dawa zote pamoja na kuwa na faida mwilini huwa na madhara pia.

Yafuatayo ni baadhi ya madhara yanayotokea mara kwa mara kwa wagonjwa wanaotumia dawa hizi:
1. Maumivu ya kichwa
2 Maumivu ya misuli
3. Tumbo kujaa gesi
4. Maumivu ya tumbo
5. Kukosa choo

Maumivu ya misuli husababishwa haswa na dawa kuwa kwa kiwango kikubwa sana mwilini. Hii husababishwa na vitu mbalimbali kama mwingiliano na dawa nyingine anazotumia mgonjwa au vyakula au matatizo ya figo n.k. Maumivu hayo yakimtokea mgonjwa ni muhimu kumueleza daktari ili kuangalia sababu ni nini ,hivyo kumsaidia.

4 thoughts on “Madhara yatokanayo na statins ( side effects)

  1. This is useful thanks Drs and Pharmacist for bringing this useful information to society…Congrats Flavie Wema Fatu and my lovely wife Beatha for helping the community…Much thanks to the inventor of such issue.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center