Athari za saratani ya shingo ya kizazi

Kutokana na kawaida ya kansa kwamba inauwezo wa kusambaa,vilevile kansa ya shingo ya kizazi inaweza kusambaa kutoka sehemu yake na kwenda sehemu nyingine mbalimbali za mwili kama vile sehemu za uke,mfuko wa mimba,kibofu cha mkojo,sehemu ya njia ya choo,mirija ya mkojo ,mifupa ini na mapafu.hali hii inaweza kupelekea athari zifuatazo

  • Kutokwa na damu sehemu za siri mara kwa mara,hali hii inaweza kupelekea upungufu wa damu mwilini
  • Fistula.
  • Figo kujaa maji.
  • Kutokwa na majimaji yeye harufu mbaya sehemu za siri kutokana na fistula.
  • Maumivu,hasa pale mifupa au neva zinaposhambuliwa na kansa.
  • Kuvimba kwa ini.
  • Miguu kuvimba kutoka na kuziba kwa mirija ya usafirishaji wa lymph [lymphatic obstruction].
  • Mtoki au kuvimba kwa tezi za lymphย  [swollen lymph nodes].
  • Mfuko wa uzazi kuingiliwa na kansa hivo kushindwa kupata ujauzito.
  • Kushindwa kupumumua kama kansa itasambaa kwenda kwenye mapafu

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center