Fahamu sababu hatarishi za saratani ya shingo ya kizazi

  • Kujihusisha na zinaa katika umri mdogo
  • Kuwa katika mahusiano ya zinaa na mwanaume zaidi ya mmoja
  • Kuwa katika mahusiano ya zinaa na mwanaume anayejihusisha na mahusiano ya zinaa na mwanamke zaidi ya mmoja.
  • Kuwa na magonjwa ya zinaa
  • Uvutaji wa sigara
  • Kuwa na historia ya saratani ya shingo ya kizazi katika familia.