Tiba ya saratani ya shingo ya kizazi

 

> Tiba kuu ya saratani ya shingo ya kizazi ni kuondoa kizazi na shingo ya kizazi (Total hysterectomy) .
> pia baada ya upasuaji, mgonjwa hupata dawa ya mionzi ili kuua chembe chembe zote za saratani.
> Mafanikio ya tiba hutegemea saratani ipo katika hatua ipi.
> Mgonjwa hupona kwa 100% kama saratani imegundulika katika hatua zake za mwanzo kabisa.
> Ikiwa imegundulika katika hatua za baadae, na tayari imeshasambaa katika viungo vingine vya mwili. Matibabu kwa ajili ya kuondoa saratani yote huwa inakuwa ni vigumu sana.
> Hivyo basi, ni vyema kumuona daktari wa wanawake mara kwa mara, kwa ajili ya kujifanyiwa uchunguzi (check-up) hata kama hauna dalili.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center