Umuhimu wa kumnyonyesha mtoto maziwa ya mama.

Kitaalamu mtoto anapozaliwa anatakiwa apate maziwa ya mama tu kwa muda wa miezi 6(exclussively breastfeeding) labda kama mama anamatatizo anaeza chagua njia mbadala(replacement/mixed) feeding.

Maziwa ya mama yanafaida nyingi sana kwa mtoto anyonyae mfano

  1. Yanamkinga na Maradhi mbalimbali kama pneumonia,kuharisha kwani yana virutubisho vinavyompa mpa kinga mtoto(Immunity),
  2. yana joto linalotakiwa na mtoto,
  3. ni rahisi kumeng’enywa na utumbo wa mtoto,
  4. Yanakuza upendo kati ya mama na mtoto.
  5. hujenga afya ya mtoto kimwili na kiakili.

Kwa watoto ambao hawanyonyeshwi huwa wanapata maambukizi ya magonjwa mbalimbali hivyo afya yao huwa hafifu.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center