Uchunguzi wa awali wa saratani ya tezi dume

Prostate specific antigen (PSA)
Hupimwa maabara kwa kuchunguza kiwango cha damu cha PSA
Hii ni protein inayotengenezwa na tezi dume. Kila mwanaume ana kiasi fulani cha protein hii ambayo huongezeka kwa kadri umri unavyoongezeka. Saratani ya tezi dume huongeza utengenezwaji wa PSA. Kuongezeka kwa kiwango cha PSA kwenye damu huwa ni ishara kuwa mtu huyu anaweza kuwa na saratani ya tezi dume.

Digital rectal examination (DRE)
Daktari ataingiza kidole laini sehemu ya haja kubwa na kupapasa kuhisi kama tezi imeongezeka na kubadilika.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center