Je saratani ni ugonjwa wa kuambukiza?

Hapana. Saratani si ugonjwa wa kuambukiza.
Saratani haiwezi kumpata mtu kutoka kwa mgonjwa mwenye saratani.Saratani ni aina za ugonjwa unaoanzishwa na seli za mwili zinazoanza kujigawa yaani kukua bila utaratibu na bila mwisho.Seli za saratani kutoka kwa mgonjwa wa saratani haziwezi kuishi kwa mtu mwingine mwenye afya njema kwani kinga ya mwili huweza kukinga na kuondoa seli za saratani kutoka kwa mgonjwa wa saratani.

Privacy Preference Center