Mazoezi ya kukaza misuli ya uzazi (kegel exercises)

Kuna hali ambayo hutokea ambapo misuli inayokaribia sehemu ya uzazi ya mwanamke hulegea hii hupelekea baadhi ya viungo vya ndani kuning’inia na kufika kwenye sehemu ya siri ya mwanamke.
Yafuatayo ni mazoezi ambayo huimarisha misuli hii na kutegemeza kizazi, kibofu pamoja na utumbo.

1: Tafuta misuli ya kegel. Nenda haja ndogo na uanze kupitisha mkojo kabla haujamaliza jaribu kubana mkojo utakapo fanikiwa hiyo ndiyo misuli ya kegel. Malizia kukojoa vizuri usirudie hili baada ya kujua misuli yako ya kegel.

2: Anza kufanya mazoezi ya kegel. Lala chali ukiwa umeinua miguu kwa kukunja magoti. Hakikisha haubani mapaja au makalio. Fanya zoezi ulilofanya la kubana misuli ya kegel lifanye kwa seti Tatu kwa siku. Kila seti ifanye mara kumi.

3: Hakikisha hauingilii zoezi hili kwa kubana misuli mingine

4: kuna video kwenye nakala nyingine baada ya hii. Itakuelewesha zaidi kwa urahisi zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show