Mpango Tiba wa Saratani Tanzania

Taasisi zinazohusika na matibabu ya saratani nchini ziko katika hatua za mwisho za kukamilisha mpango tiba wa saratani.
Changamoto kubwa ni vipimo kuchukua muda mrefu kutokana na ufinyu wa wataalam na vifaa tiba.
Kupitia mpango huu,vipimo vya awali na matibabu ya saratani yataimarika na kuokoa maisha ya wa tanzania wengi zaidi.
Saratani ikigundulika mapema,ikachunguzwa inatibika.