Madhara gani yanasababishwa na uvimbe katika mfuko wa uzazi(fibroid) kwa mama mjamzito?

  • Fibroid hupelekea kutoka kwa mimba mara kwa mara
  • Fibroid ikiwa kubwa zaidi hupelekea kuto kushika kwa mimba(Ugumba)
  • Fibroid hupelekea mimba kushika nje ya mfuko za uzazi
  • Fibroid kusababisha matatizo wakati wa kujifungua kama vile kuzuia njia wakati wa kujifungua, hii hupelekea kujifungua kwa njia ya upasuaji.

Mara ugunduapo au kuambiwa na Daktari kuwa na uvimbe katika kizazi pata uangalizi wa karibu kutoka hospitali uweze kujifungua salama.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center