Sasa unaweza kujadiliana na watanzania na kuuliza maswali!

Daktari Mkononi imeanzisha kipengele kipya kinacho itwa “maswali na majibu” kinachowapa watanzania uwanja wa kujadiliana na wengine wengi kuhusiana maswala mbali mbali ya kiafya. Kipengele hiki pia kitahusisha madaktari, wafamasia na wanafunzi wa udaktari na wafamasia wakitoa michango yao ya elimu katika kuelimisha jamii ili kuepusha magonjwa.

Jinsi ya kuweza kuuliza swali au kusoma maswali ni kama ifuatavyo kwenye picha hizi: