Presha ya Kiwango gani si Salama

Kwa mujibu wa tafiti za mwaka 2017 yafuatayo ni makundi ya shinikizo la damu

 • Kundi salama – wenye presha ya juu isiyozidi 120 na ya chini isiyozidi 80
 • Presha iliyo ongezeka –  wenye presha ya juu ya 120-129 na ya chini isiyozidi  80
 • Shinikizo la damu hatua ya kwanza – wenye presha ya juu 130-139 na ya chini 81-89
 • Shinikizo la damu hatua ya pili – wenye presha ya juu isiyopungua 140 na ya chini isiyopungua 90
 • Shinikizo la damu hatua ya dharura – wenye presha ya juu iliyozidi 180 pamoja na au ya chini iliyozidi 120

 

2 thoughts on “Presha ya Kiwango gani si Salama

 1. Nimeelewa kwenye presha isiyozidi hicho kiwango. Ningependa kuelewa Zaidi kiwango kipi cha chini haitakiwi kupungua chini ya hapo. Ile wanaita presha ya kushuka.

  1. Asante kwa swali.
   Kiwango cha chini cha presha ni 90 kwa presha ya juu na 60 kwa presha ya chini (90/60)
   Watu wanaofanya mazoezi sana wanaweza kuwa na presha chini ya hapo na isiwe tatizo kiafya.
   Ila pale inapokuwa chini na kuambatana na dalili kama kizinguzungu,kuishiwa nguvu au kichefuchefu inashauriwa umuone daktari kwa uchunguzi zaidi

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show