Dawa za uzazi wa mpango za dharura (P-2), part 2.

Mwingiliano kati ya dawa na dawa pamoja na dawa na ugonjwa.
P-2 huingiliana na dawa mbalimbali hivyo ni muhimu kumuona mfamasia endapo unatumia dawa hizo na unahitaji kumeza P-2.
Miongoni mwa dawa hizo ni;
1.Dawa za kifafa
2. Dawa za TB
3. ARV
4. Dawa za kutibu fangasi kama griseofulvin
5. Dawa mbalimbali za mitishamba.
P-2 pia huingiliana na magonjwa mbalimbali aidha kwa magonjwa hayo kupunguza ufanisi wa dawa au dawa kuzidisha matatizo yatokanayo na ugonjwa. Yafuatayo ni baadhi ya magonjwa ambayo mtu akiwa nayo P-2 zinaweza zisimfae;
1. Kisukari
2. Matatizo ya moyo
3. Magonjwa ya ini
4. Kansa ya matiti
5. Kiharusi
Endapo unamatatizo hayo na unahitaji kuzuia mimba isiyopangwa ni vyema ukafika kituo cha afya kwa ushauri zaidi.

2 thoughts on “Dawa za uzazi wa mpango za dharura (P-2), part 2.

 1. I would like to ask what is the pathophysiology behind of these medication( p2 ) interfering with these non communicable disease u said?? ie DM and heart disease

  1. P2 contains a progestin (levonorgestrel). Being a hormone it interferes with normal hormonal balance in the body thus a disturbance in the pharmacodynamic systems can be speculated. Never the less studies have shown that levonorgestrel increases the risk of MI and cardiovascular events by;
   1. Increasing blood pressure and slowing heart rate
   2. Increasing LDL levels and / or lowering HDL
   3. Causing fluid retention hence further disturbance in hemodynamics
   4. Increase in thromboembolic events.
   Thus caution should be taking incase benefits out weigh risks when administering such drugs to cardiovascular and DM patients other wise avoidance is better.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show