Je,kuna tiba ya kifafa cha mimba?

Mara baada ya kujulikana una kifafa cha mimba, matibabu pekee ni utoaji wa mtoto . Hakuna tiba ya kifafa cha mimba isipokuwa utoaji wa mtoto tumboni.Hivyo mama atafanyiwa upasuaji haraka iwekezekanavyo ili kuokoa maisha ya mtoto  mimba ikiwa chini ya wiki34,ila kama ni ya wiki ya 34 na zaidi atapewa dawa za kusababisha uchungu ili ajifungue.

Ushauri.

Hivo basi ni vizuri kuwahi pale utakapoona dalili za mwanzo kabisa ili uokoe maisha ya mwanao na yako.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center