Dalili na matibabu kwa ugonjwa wa goiter

Uvimbe katika upande wa mbele wa shingo ni dalili ya mwanzo ya goiter.Pia huambatana na dalili kama

  • Kushindwa kumeza kwa chakula
  • Kubadilika kwa sauti: sauti kuwa nzito
  • Kupumua kwa shida
  • Kukohoa
  • Kupata kizunguzungu baada ya kuweka mkono kichwani

Je ni vipimo gani vinaweza kufanyika kujua ugonjwa wa goiter 

  • Kipimo cha damu:Kuangalia kiwango cha homoni
  • Ultrasound ya thyroid
  • Kipimo cha biopsy: Ni kipimo cha kuchukua kinyama katika thyroid na kufanyika  vipimo vya maabara

Je ni matibabu gani yanaweza kufanyika kwa mgonjwa wa goiter 

  • Matibabu ya dawa ya homoni
  • Matibabu ya upasuaji kutoa tezi ya thyroid endapo ni kubwa zaidi

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center