Je wajua ugonjwa wa goiter unaepukika?

Kupatikana kwa madini joto katika mwili ni njia inayoweza kuzuia ugonjwa wa goiter.Kuna njia mbalimbali kuweza kupata madini joto.Kama ilivyoainishwa hapa chini

  • Matumizi ya chumvi yenye madini ya joto.Ni njia kuu ya kupata madini katika mwili kwani chumvi hutumika kila siku.
  • Matumizi ya chakula chenye madini ya joto kwa wingi kama vile maziwa na dagaa
  • Kuepuka kuwa karibu na mionzi
  • Matumizi ya matunda na mboga mboga zinazozalishwa katika mwambao wa pwani.
  • Kwenda kituo cha afya mara tuu unapohisi dalili kama zilivyoainishwa katika chapisho lililopita.

Tumia chumvi iliyo na madini joto kuepuka ugonjwa wa goiter.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Privacy Preference Center