Daktari Mkononi: Umoja ni Nguvu

Karibu sana daktari mkononi, mtandao pekee unaotoa elimu ya afya kwa urahisi zaidi kwa jamii. Tusaidie kuelimisha jamii yetu na kuwajali kwa kushare daima post zetu na kuwakaribisha katika tovuti yetu hii, bila kusahau instagram, facebook, twitter na youtube zote zikienda kwa jina la Daktari Mkononi. Tunawajalia afya njema na kuwajali.

4 thoughts on “Daktari Mkononi: Umoja ni Nguvu

 1. Mimi nina swali, kabla ya kushare articles zenu kwa marafiki zangu, je mnachukua tahadhari gani kuhakikisha kwamba hizi taarifa ni za kweli? Maana naona wote humu ni MD students. Mko tayari kuwajibika kwa taarifa itakayoleta madhara ya kiafya kwa watu?

  Tafadhali someni hii,

  “Tanzania has taken online media control up a notch with the introduction of a bill that contains strict regulations for online content producers including social media users and bloggers.
  The Electronic and Postal Communications (Online Content) Regulations 2017 recently passed by parliament will be enforced by the Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) after approval by the information minister.

  The bill recommends a fine of 5 million Tanzanian Shillings ($2,300), a minimum of 12 months in jail or both for those found guilty of violating the regulations.

  According to the regulations, social media users and online content producers will be held liable for materials deemed “indecent, obscene, hate speech, extreme violence or material that will offend or incite others, cause annoyance, threaten harm or evil, encourage or incite crime, or lead to public disorder.”

  Nimependa jitihada zenu, hii tovuti itasaidia watu sana. Hongereni.

 2. Hakika umoja ni nguvu na jitihada zenu ni zuri sana katika kuleta fukuto la mabadiliko kwenye mkondo wa afya!!!

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show