Chumvi Mbadala kwa Wagonjwa wenye Shinikizo la Damu

Wagonjwa wenye shinikizo la damu hawashauriwi kutumia chumvi ya kawaida .

Hii ni kutokana na madini ya sodium kusababisha kukusanyika kwa maji kwenye mishipa ya damu hivyo kuzidisha ukubwa wa tatizo.

 • je utawezaje kufurahia chakula kama watu wengine?

Kuna aina ya chumvi zenye madini ya sodium kidogo sana hivyo kuwa mbadala mzuri kwa wagonjwa.

 • Chumvi hiyo pia ina ladha ileile hivyo kumwezesha mgonjwa kufurahi chakula.
 • Pia ina madini ya potassium yenye manufaa katika mwili.

Zingatia kushauriana na daktari wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutumia chumvi mbadala.

2 thoughts on “Chumvi Mbadala kwa Wagonjwa wenye Shinikizo la Damu

  1. Asante kwa swali
   Kwa mgonjwa mwenye shinikizo la damu anashauriwa kutozidisha gramu 1.5 kwa siku. (Robo mpaka robotatu ya kijiko cha chai)
   Pia umakini unatakiwa kwenye aina za vyakula kwani vingine huwa na chumvi tayari.mfano nyama za kukausha
   Kiwango hicho kinaweza ongezeka au kupungua zaidi kutegemeana na hali ya mgonjwa na ushauri wa daktari

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show