Dalili za mtu aliyezidiwa na madawa aina ya opioids.

Madawa aina ya opioids ni kama heroin, morphine, codeine,hydrocodone, oxycodone,methadone n.k

Hapa tutazungumzia sana heroin( inajulikana kama unga).Dalili za kutumia dawa hizi kwa wingi ni kama zifuatazo;

1. Pumzi hupungua au husikii pumzi kabisa kwa mtu aliyezidiwa. Mdomo baadaye huonekana bluu kama hajapata hewa kwa muda mrefu.

2.Mtu anakuwa hasogei. Akiwa amelala hawezi kuamka ukiwa unamuamsha.

3. Unaweza kusikia kama mtu anakoroma au yupo kama katika hali ya kupaliwa.

4. Ukishika ngozi ya mtu utasikia ubaridi ukilinganisha na joto la mwili wako.

5.Muonekano wa macho ukimwangalia kama huu;

Hii  huwa tunaita pinpoint pupils. Tundu jeusi katikati ya jicho huonekana dogo sana, ukilinganisha na hali ya kawaida.

Hali ya kawaida ya jicho huwa ni hivi;

Ukikutana na mgonjwa na dalili hizi au unahisi mtu mtumiaji wa dawa aina hizi, piga simu ambulance.

Huwa wanakuwa na dawa huitwa naloxone ambayo huchomwa . Hii dawa hukabiliana na madhara za hizi opioids.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show