Fahamu umuhimu wa kutembea

Kutokana na maendeleo ya teknolojia watu wengi wanatumia usafiri wa aina mbalimbali kufika sehemu yenye umbali mdogo. Pia watu wengi hutumia mda mwingi kukaa kwenye viti ofisini, bila kusogea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Fahamu kua kutembea pia ni mazoezi yenye muhimu mkubwa.

Zifuatazo ni faida za kutembea;

1. Husaidia kupunguza uzito
2. Kupunguza uwezekano wa kupata kolesto
3.kupunguza stress na kufanya ujisikie vizuri
4.kuimarisha mifupa na misuli ya mwili
5.kupunguza uwezekano wa kupata shinikizo la damu
6. Kupunguza uwezekano wakupata magonjwa ya moyo
7.husaidia kuimarisha mfumo wa upumuaji

Zoezi la kutembea ni zuri kwasababu kila mtu anaweza kufanya mahali popote mda wowote.
Ila ni vyema kutenga mda maalumu ili uhakikishe kua kila siku zoezi hili linafanyika. Unaweza kufanya asubuhi kabla ya kazi au jioni baada ya kazi. Pia tusipende kutumia vyombo vya usafiri kama sehemu tunazoenda hazina ulazima wa kutumia usafiri.

2 thoughts on “Fahamu umuhimu wa kutembea

    1. Asante kwa swali zuri. Kutembea hakuna formula labda tu ujiwekee umbali flani ambao unaweza kua unatembea kila siku kama sehemu ya mazoezi yako. Wengine huamua kutembea kwa haraka na kuchapa mikono ili kuhakikisha jasho linatoka mwilini waweza fanya hivyo pia. Jambo la msingi kabisa ni kuhakikisha mwili wako unamove haswa kma shughuli zako za kila siku ni kukaa mahala pamoja. Karibu sana Geofrey.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show