Saratani ya mapafu ina athari zipi ndani ya mwili wa binadamu?

Saratani ya mapafu inaweza leta athari ndani ya mwili kwa sababu za ugonjwa huu au madhara ya matibabu ya ugonjwa huu. Baadhi ya madhara hayo ni
1. Maumivu hasa katika mbavu na misuli ya kifua
2. Kukohoa damu hii ni kwa sababu ya kuvuja damu ndani ya mfumo wa upumuaji
3. Numonia, hii inatokea kwa uvimbe ambao ni mkubwa ndani ya mapafu hatimaye mapafu yanapata shida kwenye utendaji wake na hii uchochea mgonjwa kupata magonjwa kama numonia ambapo mgonjwa anakuwa na dalili kama homa, maumivu ya kifua na kukohoa
4. Kupoteza hisia ndani mfumo wa fahamu, na mgonjwa anakuwa na dalili kama ganzi, maumivu na udhaifu
5. Mabadiliko ya sauti (sauti inakuwa ya mkwaruzo) hii inasababishwa na uvimbe ambao unagandamiza nuroni za sauti

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show