Vitamini C na watoto

Vitamini C ni kirutubisho muhimu sana mwilini. Husaidia katika;
1.Utengenezwaji wa katileji , mishipa ya damu na ngozi
2. Ukuaji mzuri wa mtoto
3. Utengenezwaji wa meno na mifupa imara
4. Kutibu vidonda na tishu zilizoumia.
Vitamini C hupatikana katika matunda mbalimbali kama vile machungwa, mapapai, machenza, strawberry n.k.
Pamoja na umuhimu huu, vitamin C haitunzwi mwilini, hivyo ni lazima kuipata kutoka kwenye vyakula kila siku.
Kwa mtoto mchanga haswa ni muhimu kumkamulia majimaji( juisi) ya machungwa na kumpa ili awe na afya njema.
Kumpa mtoto mchanga juisi hii waweza anza kumpa akiwa na miezi minne au hata pungufu.
Ni muhimu kuzingatia usafi wakati wa kuandaa juisi hii ili kutohatarisha afya ya mtoto.

2 thoughts on “Vitamini C na watoto

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show