Unapenda soda?

Watu wengi hupenda kunywa soda kama kiburudisho cha koo na kwasababu ni tamu, ila ni vyema kunywa maji usikiapo kiu au juisi ya matunda asilia ambayo sukari yake ni ya asili. Madhara mengi yatokanayo na soda husababishwa na kiwango cha sukari kilichomo kwenye soda, pia coca ina madini ya phosphorus ambayo husababisha kupoteza madini ya calcium yaliyopo mwilini.

Fahamu madhara ya soda;
1. Huleta kiungulia na kubeua
2. Inaongeza hatari ya kuongezeka uzito kupita kiasi
3. Inasababisha lishe duni
4. Inasababisha meno kuoza
5. Inapunguza uimara wa mifupa haswa Coca-Cola

5 thoughts on “Unapenda soda?

  1. Asante kwa swali zuri tafiti nyingi zimefanywa siwezi kuorodhesha zote kwa majina, Kila point nilioandika inaukweli na pathophysiology yake ipo na zimeelezewa kiundani. Ingia medscape, webmed, healthline , uptodate search apo utapata maelezo. Karibu Nicky.

 1. Je kuna faida za soda tofauti na utamu pekeee?? Je, ili kuongeza weight naruhusiwa kunywa soda?? Kwa usalama wa afya natakiwa kunywa soda ngapi?.
  Otherwise thanks for ed.

 2. Shukrani kwa maelezo yako ambayo yanakufanya watumiaji wa soda tuanze kuwaza kuacha kuzinywa… Nina maswali mawili

  1. Je kama kuna mtu anakula vyakula vingine vinavyozuia kiungulia, kuimarisha lishe na mifupa na pia anasaficha meno yake vyema, je ni sahihi kwake kuendelea kuinywa soda?

  2. Je soda zote zina madhara sawa, yaani hazina yale madhara ya upekee kwa kila soda?

  1. Asante sana kwa swali zuri. Kiafya sio sahihi kunywa soda kwasababu ni vigumu mtu kufanya hayo yote ulioyasema kwamba atafanya. Ila mtu ambaye hawezi kuacha kunywa soda kabisa anaweza akapunguza kiasi anachotumia plus afanye ivo vitu apo juu ulivyosema atapunguza hatari ya kupata hayo magonjwa/madhara.

   2.hapana si sawa kwasababu ya vitu vilivyomo kwenye soda vinatofautiana na aina ya soda mfano fanta si sawa na coca au energy drink.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show