Masaa mangapi humtosha mtoto kulala?

Watoto wanahitaji usingizi kwa ajili ya kusaidia ukuaji wao, kimwili na kiakili. Watoto kuanzia wiki moja hadi miaka 16, wanahitaji muda wa kupumzika.

Mtoto wa wiki moja (1)
Mchana: masaa 8
Usiku: masaa 8 na dakika 30

Mtoto wa wiki nne (4)
Mchana: masaa 6 mpaka masaa 7
Usiku: masaa 8 mpaka masaa 9

Miezi mitatu ( 3 )
Mchana: masaa 4 mpaka masaa matano (5 )
Usiku: masaa kumi (10) mpaka masaa kumi na moja (11)

Mtoto wa miezi sita (6)
Mchana : mchana masaa matatu (3)
Usiku : masaa kumi na moja (11)

Miezi tisa (9)
Mchana: masaa mawili na nusu
Usiku : masaa kumi na moja

Mtoto wa miezi kumi na mbili (mwaka mmoja)
Mchana: masaa mawili na nusu
Usiku : masaa kumi na moja

Miaka miwili
Mchana: saa moja na nusu
Usiku : masaa kumi na moja na nusu

Miaka mitatu (3)
Mchana: dakika 45
Usiku : masaa kumi na moja mpaka masaa kumi na mbili.

Miaka minne (4)
Usiku : masaa kumi na moja na nusu.

Miaka mitano (5)
Usiku: masaa kumi na moja

Miaka sita (6)
Usiku: Masaa kumi na dakika arobaini.

Miaka 7
Usiku : Masaa kumi na nusu.

Miaka 8
Usiku : Masaa kumi na dakika kumi na tano.

Miaka 9
Usiku : Masaa kumi (10)

Miaka 10
Usiku: Masaa tisa na dakika arobaini na tano.

Miaka 11
Usiku : Masaa tisa na nusu.

Miaka 12
Usiku : masaa tisa na dakika kumi na tano.

Miaka 13
Usiku: Masaa tisa na dakika kumi na tano.

Miaka 14
Usiku: Masaa tisa (9)

Miaka 15
Usiku : Masaa tisa (9)

Miaka 16
Usiku: Masaa tisa (9)

3 thoughts on “Masaa mangapi humtosha mtoto kulala?

 1. Asante Dr. Brenda Wakesho kwa elimu yako ya masaa sahihi ya kulala watato, ningependa kuuliza maswali kadhaa;

  1. Kwanini kadri umri unavyoongezeka na masaa ya kulala usiku yamekuwa yakiongezeka halafu yakaanza kushuka tena?

  2. Nini madhara ya kulala bila kufuata mpangilio huo?

  3. Je ni muda gani ni sahihi kwa mtoto kuingia kulala na muda wa kuamka ili kukamilisha hayo masaa?

  4. Vipi ikitokea kwa mfano mtoto kazidisha masaa ya kulala mchana, je aamshwe? Na je usiku itabidi alale masaa pungufu kufidia yale ya mchana?

 2. Tunashukuru sana kwa maswali yako kaka charles
  Ningependa nijibu swali lako la pili na daktari wataendelea kujibu mengine.
  Madhara ambayo mtoto anaweza yapata endapo hatafuata mpangilio huo ni kushindwa kukua vizuri kutokana na sababu kwamba wakati mtoto amelala ubongo hutoa homoni za ukuaji ambazo husaidia katika ukuaji wa mtoto japo vyakula na vingine huchangia ukuaji ila kulala ni sehemu muhimu sana.
  Asante na shukrani kwa kuuliza.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show