Mazoezi gani ni muhimu kuimarisha afya ya moyo?

 

 

Mazoezi ni kinga ya magonjwa ya moyo na shinikizo la damu.

Ufanyaji wa mazoezi unaozingatia taratibu maalumu za mazoezi hupunguza kwa kiasi kikubwa hatari ya kupata magonjwa ya moyo na shinikizo la damu (hypertension).

Ufanyaji wa mazoezi ya kawaida (moderate exercise) hufanya moyo kwenda mbio kiasi, jasho kutoka na kupumua kwa nguvu.

Je hayo mazoezi ya kawaida ni yapi na ni kwa muda gani?

  • Inashauriwa kufanya mazoezi angalau kwa dakika 10-15 kwa siku na ufanye hivyo kwa angalau siku tano katika wiki.
  • Mazoezi hayo yaweza kuwa kutembea kwa haraka, kukimbia, kuogelea na kuendesha baiskeli.
  • Inashauriwa kuanza na mazoezi madogo kwa siku za mwanzo kasha kuongeza uzito wa mazoezi kwa kadiri siku zinavoenda huku ukizingatia ratiba yako maalum ya mazoezi.
  •  Ni vema pia kufanya mazoezi kwenye eneo la wazi ambapo kuna hewa ya kutosha.

3 thoughts on “Mazoezi gani ni muhimu kuimarisha afya ya moyo?

  1. Hongera sana daktari mkononi naona mmevuka mipaka sasa,,mfike mbali bwana muwe mnabadilishana hadi wataalamu na elimu na sisi tuache kwenda kutibiwa kwa watu,,hongereni sana nimeipenda kasi yenu.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show