Ufahamu ugonjwa wa moyo uitwao Endocarditis ya uambukizi (Infective endocarditis)

Ni maambukizi  ya mfuko  wa ndani ya moyo(endocardium) ambao sanasana husababishwa na bakteria.

Dalili za  ugonjwa huu.
– Homa
– Kutokwa na jasho usiku.
– Kuchoka kwa haraka.
– Uzito kupungua.
– Upungufu wa pumzi.
– Misuli na viungo kuuma
– Kuvimba miguu.
– Kifua kuuma wakati wa kupuma
– Node ya Osler (Osler nodes)
– hemorrhage ya kiunganishi (Conjunctival haemorrhage )

Wenye hatari ya kuupata ugonjwa huu ni:
– Watumiaji wa madawa ya kulevya haswa kwa sindano
– Wenye Mfumo wa kinga dhaifu.
–  Valve ya moyo ya kisasa(Artifical heart valve)
– Kasoro za kuzaliwa wa moyo.(birth defects of the heart)
– Uharibifu wa valve za moyo hukutokana na homa ya rhemautic (rhemautic fever)
– Historia ya ugonjwa wa moyo katika familia

Madhara ya
uambukizi wa endocarditis ni
-kiharusi(stroke)
-moyo kushindwa kufanya kazi.
-kushindwa kwa figo
-kuupoza Kwa mwili

Asilimia 25 ya watu wanaopata ugonjwa huu hufariki hivyo ni muhimu kufuatilia na kumwona Daktari Dalili zilizotajwa zikitokea

 

1 thought on “Ufahamu ugonjwa wa moyo uitwao Endocarditis ya uambukizi (Infective endocarditis)

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show