Ninywe maji kiasi gani?

 • Ninywe maji kiasi gani?
  1.Jua uzito wako katika kilogramu
  2.Gawanya kwa 30
  3.kwa mwanamazoezi, jumlisha lt 0.35 kwa kila dakika 30
  4.maji mengine hupatikana kwenye chakula hivyo tunaamini kuna asilimia ya maji tunayo tunapokula
  Mfano; kwa mtu mwenye kilo 60
  60/30=Lts 2
  b)kama anafanya mazoezi kwa saa moja kila siku
  (0.35*2)= Lts 0.7
  Hivyo itakuwa
  Lt 2+ Lt 0.7= Lt 2.7
 • hii ni kiasi cha maji cha chini unaweza kunywa kwa  siku.

5 thoughts on “Ninywe maji kiasi gani?

 1. Asante Dr.
  Hii inatufaa sana sisi wanahisabati wa karne hii.
  Lakini kwa kuwasaidia wale ambao hesabu kidogo ni changamoto, au hata calculator ikikosekana karibu. Au hata wale wasioweza kupima maji kilo mbili na robo (Hahahaah)
  Hakikisha tu; ‘Kunywa maji kiasi cha kutosha kufanya mkojo wako uwe na rangi iliyopauka(pale)……Nyongeza; Kula mboga kiasi cha kufanya rangi ya kinyesi chako kiwe kijani ; ) ‘

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show