Zijue faida za kula samaki na vyakula bahari (seafood)

Samaki iwe wa maji safi ama wa maji chumvi ni chakula chenye faida nyingi za kiafya. Hii hutokana na virutubisho mbalimbali vinavyopatikana kwa samaki.

Zifuatazo ni faida za kiafya zitokanazo na ulaji wa samaki na vyakula bahari.

1.Mifupa imara.
Samaki huupa mwili virutubisho muhimu kama vitamini B, vitamin D na madini. Virutubisho hivi ni muhimu katika utengenezwaji wa mifupa imara, meno na kazi mbalimbali za kimetaboliki mwilini.
2.Kuona vizuri.
Samaki zina vitamini A kwa wingi, kirutubisho ambacho humwezesha mtu kuona vizuri hata kwenye giza.
3.Kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
Samaki zina mafuta mazuri yenye wingi wa kirutubisho (omega-3- fatty acids) ambacho kupunguza mafuta mabaya mwilini hivyo kupunguza hatari ya kupata matatizo katika mfumo wa damu na magonjwa ya moyo.
4.Akili nzuri.
Virutubisho vilivyomo kwenye samaki husaidia utengenezwaji mzuri wa akili kwa watoto na hata kumbukumbu nzuri kwa wakubwa.
5.Ngozi yenye afya.
Vitamin D na omega 3 zilizopo katika samaki na vyakula bahari husaidia katika kuboresha ngozi, kuifanya iwe laini na yenye afya.
6. Huongeza kinga ya mwili.
Samaki zinavirutubisho ambavyo husaidia kupunguza sumu zitokanazo na kazi za kimetaboliki za mwili ( oxidative stress). Hii huimarisha kinga za mwili katika kukulinda na magonjwa.
7. Samaki na vyakula bahari kama pweza zina madini ambayo husaidia kuongeza uwezo katika tendo la ndoa.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show