Fahamu juu ya Mazoezi ya Kegel kwa Wajawazito

Mazoezi ya kegel ni aina ya mazoezi yanayofanywa kuimarisha misuli ya nyonga.

Mazoezi haya humuwezesha mama mjamzito kujifungua salama na kuepukana na

 • Matatizo ya kuvuja mkojo au fistula.
 • Kurahisisha zoezi la kujifungua hasa wakati wa kusukuma mtoto.
 • Kuepuka majeraha wakati wa kujifungua.
 • Kuepukana na bawasiri.
 • Kurudisha misuli ya kwenye njia ya uzazi katika hali ya kawaida baada ya kujifungua.

je mazoezi haya yanafanyajwe?

 1. Kutambua misuli ya kufanyia mazoezi , jaribu kubana mkojo wakati wa kukojoa.
 2. Misuli utakayo isikia imekaza ndiyo misuli utakayokuwa unaifanyia mazoezi.
 3. Wakati umetulia, fanya kuikaza hii misuli ukihesabu moja mpaka tano na kuiachia.
 4. Pumzika kwa sekunde kadhaa kisha rudia tena.
 5. Unaweza fanya zoezi hili mara kadhaa kwa siku.

Z ingatia

 • Usiwe unafanya zoezi wakati unakojoa au ukiwa umebanwa na mkojo.
 • Pumua kawaida wakati wa kufanya zoezi hili.
 • Misuli ya sehemu nyingine za mwili kama miguu na tumbo haitakiwi kuhusika wakati unafanya hili zoezi.
 • Zoezi hili linaweza fanywa pia na watu wengine wasio wajawazito.

 

 

 

2 thoughts on “Fahamu juu ya Mazoezi ya Kegel kwa Wajawazito

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show