Je naweza kuepuka saratani?

Ni muhimu kuwa na mtindo mzuri wa maisha kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza kama vile magonjwa ya moyo na saratani, na baadhi ya mtindo mzuri wa maisha wenye manufaa kwa afya zetu uhusisha  njia zifuatazo

1.Achana na matumizi ya sigara au tumbaku, hii itakusaidia kuepuka saratani kama saratani ya mapafu.
2. Kuwa na ratiba ya mazoez ya mara kwa mara, hii itakuepusha kupata uzito uliopitiliza, kwa kufanya hivi utaepuka saratani zinazosababishwa na uzito uliopitiliza kama vile saratani ya matiti.
3. Achana na unywaji wa pombe uliopitiliza, itakusaidia kuepuka saratani kama saratani ya kongosho.
4. Kula matunda na mboga za majani kwa wingi, kwa kufanya hivi utaepuka saratani kama vile saratani ya utumbo mkubwa

5.Fatilia juu ya historia ya magonjwa katika familia au ukoo kwa sababu kuna saratani zinaenda kwa kurithi katika familia kwa mfano aina fulani ya saratani ya jicho (retinoblastoma)
6. Kuwa na utaratibu wa kufanya uchunguzi mara kwa mara (regular check ups) na shiriki kwenye upimaji wa aina mbalimbali za saratani.

2 thoughts on “Je naweza kuepuka saratani?

  1. Asante dokta kwa maelezo mazuri,mbona kuna watu hawana tabia zilizotajwa kama kuvuta sigara,wapenzi wengi, lakini bado wanapata saratani?!?

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show