Saratani ya ini na sababu za hatari kupata saratani ya ini.

Ini ni kiungo kikubwa katika mwili kinachojihusisha na mmeng’enyo wa chakula, utunzaji wa nguvu ya mwili na kuondoa sumu katika mwili.
Saratani ya ini huweza kuanza katika ini au kusambaa kutoka katika kiungo kingine cha mwili kama mapafu.

Sababu hatarishi  kupata saratani ya ini

    • Kuwa na ugonjwa wa homa ya ini
    • Matumizi  ya pombe
  • Matumizi ya sigara
  • Ugonjwa wa kisukari
  • Ugonjwa wa unene kupindukia
  • Matumizi ya chakula kilicho na kemikali ya aflotoxin kama vile mihogo viazi au mahindi yayovundikwa kwa muda kabla ya kusagwa kwa matumizi ya ugali.Ifahamike kuwa vihatarishi hivi vinachochea tu, nasio kwamba unapokua na vihatarishi basi una saratani ya ini.Chamsingi ni kujiepusha ilikupunguza uwezekano wa kupata saratani.
PATA CHANJO YA HOMA YA INI KUEPUKA HOMA YA INI

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show