Chanjo za kukinga magonjwa ya mfumo wa upumuaji kwa watoto.

Diphtheria na pertussis ni magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.

●Diphtheria huweza sababisha matatizo ya kushindwa kupumua vizuri, kupooza na huweza sababisha kifo.

Ugonjwa wa pertussis ukifahamika kama whooping cough husababisha mtoto kupata vikohozi vikali sana ambavyo vinaweza kusababisha mtoto kushindwa kunyonya, kunywa pamoja na kupumua na huweza kudumu kwa zaidi ya wiki.

●Huwa na madhara mabaya kama kusababisha pneumonia, kifafa na huweza sababisha kifo.

Mpangilio wa utoaji wa chanjo ya DP

●Chanjo ya DP hutolewa pamoja na chanjo ya tetanus kwa wakati mmoja na hufahamika kama DPT na pia huweza kutolewa na chanjo za aina nyingine.

●Hutolewa katika dozi ya mara tatu ikianza na umri wa wiki 6, 10, na 14.

●Mtoto huchomwa chanjo hii katika paja la kushoto.

●Pia imependekezwa mtoto apatiwe chanjo nyingine ikipita miaka 10 baada ya chanjo tatu za mwanzo.

“Chanjo hizi hutolewa bure katika vituo vyote vya afya “

Mpeleke mwanao umuepushe na magonjwa ya utotoni ya mfumo wa upumuaji yanayoepukika kwa chanjo.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show