Fahamu kuhusu chanjo iitwayo PCV.

Historia fupi ya chanjo aina ya PCV
●Kutokea mwaka wa 1977 kulitengenezwa na kupitishwa kwa matumizi aina ya chanjo iitwayo kitaalam Pneumoccocal vaccine ambayo ilikuwa na uwezo wa kuzuia bakteria takribani aina 14 na kufikia 1983 ikaboreshwa kuthibiti hadi aina 23 ilijulikana kwa jina la PPSV23 japo ilikuwa bora kwa watu wazima hivyo mnamo mwaka 2000 chanjo aina ya PCV7 ilipewa kibali cha kutumika na ikafanyiwa maboresho mwaka 2010 ili kuzuia zaidi ya bakteria aina 13 na kujulikana kama PCV13.(CDC)

●Mfumo wa chanjo za kuzuia magonjwa ya njia ya hewa.

●Hapa nchini Tanzania utoaji wa chanjo ya PCV umefikia asilimia 90 kama ilivyoripotiwa na ripoti ya GAPPD 2017.

●Chanjo hii hutolewa mara tatu kwa mpangilio wa umri wa wiki 6, 10 na 14.

●Huhusisha watoto wenye umri wa kuanzia miezi miwili hadi chini ya miaka mitano.Pia huweza kutolewa kwa mtoto mapema kuanzia umri wa wiki 6.

Mambo ya kumwambia mtoa chanjo kabla ya chanjo.

●Kama mwanao ameshawahi pata allergy iliyotishia maisha katika chanjo ya kwanza.
●Kama mwanao anaugua au anaumwa mfano mafua.

Faida za mwanao kupatiwa chanjo

●Magonjwa kama pneumonia, bakteria meningitis na maambukizi ya damu ni magonjwa hatari na husababisha vifo vingi vya watoto wenye umri chini ya miaka mitano na ni kati ya magonjwa ambayo anaweza kuyapata mwanao endapo hatapatiwa chanjo ya PCV13

“Hivyo ni muhimu sana kwa mwanao kupata chanjo hii”

 

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show