Ugonjwa wa Pneumonia kwa watoto.

Pneumonia ni ugonjwa ambao huweza kusababishwa na virusi na bakteria. Ugonjwa huu huwa unaathiri njia za hewa ndani ya mapafu. Vifuko vya hewa ndani ya mapafu hushindwa kuchukua oxygen ambapo inapelekwa kwenye damu.Tunaweza tukauita ugonjwa huu homa ya mapafu

Ugonjwa huu huathiri sana watoto chini ya miaka mitano na huweza kusababisha kifo kama mtoto hatapelekwa kwenye kituo cha afya mapema.

Je dalili za pneumonia kwa watoto ni zipi?

1. Kukohoa

2. Kupumua kwa haraka

3.Kupumua kwa shida na kwa kutumia nguvu pia tundu za pua huonekana kama zinatanuka.

4.Mara nyengine hupata homa.

5.Kushindwa kula vizuri

6. Kulia zaidi kupita kiasi.

7.Kutoa mlio kama wa kuguna wakati mtoto anapumua.

8. Mdomo na vidole huweza kuanza kubadilika kuwa rangi ya bluu.Hii ni kwasababu oxygen haifiki kwenye viungo vya mwili.

Endapo ukiona dalili hizi , mpeleke mtoto hospitalini kwani ugonjwa huu ni hatari kama usipotibiwa.

 

2 thoughts on “Ugonjwa wa Pneumonia kwa watoto.

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Top Posts & Pages

Recent Comments

CATEGORIES

Ratiba ya Wiki Hii

Jumatatu: Afya ya mtoto
Jumanne: Magonjwa yasiyo ya kuambukiza
Jumatano: Magonjwa ya Dharura na Magonjwa mengine
Alhamisi: Lishe na Mazoezi
Ijumaa: Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake
Jumamosi: Afya ya uzazi
Jumapili: Magonjwa ya kuambukiza

POST REVIEWERS

Afya ya mtoto: Dr. Julieth Joseph
Afya ya Kinywa na Meno: Dr. Baraka Kileo
Famasia: Pharm. Hans Nniko
Sexual Health Dr. Deogratius Mtei
Lishe na Mazoezi: Dr. James Hellar
Magonjwa ya Dharura: Dr. Kilalo Mjema
Magonjwa ya moyo na Shinikizo la damu: Dr Hussein Manji
Saratani: Dr. Mathew Cosmas
Ujauzito na Magonjwa ya Wanawake: Dr. Walter Msirikale

About Us

Daktari Mkononi is a platform that contains health related information and connects health personnels and the society. Made by a group of medical students and overseen by doctors with love and passion to ensure healthy lives 🙂

CONTACT

Email:
daktarimkononi@gmail.com

SMS:
+255684159117
+255768256424

Whatsapp:
+255688636717

Subscribe

Tuandikie email yako tukutumie mada mbali mbali za afya uzipendazo.

Recent Posts

Upcoming Event

Homa ya Kichaa cha Mbwa | 28th September

Upcoming Show